Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lile goli maridadi kabisa, nashangaa wamekimbilia kwenye hiyo VAR yao. Huyo mdudu ameharibu kabisa mpira aisee! [emoji16][emoji16]
Sitaki hata kuisikia unajua football ni mchezo wa kusisimka errors zipo za kibinadamu na ndio football VAR inaleta usumbufu imagine goli la man city watu wanashangilia halafu VAR inagoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…