“Kwa vitu kama hivyo inatakiwa kuwa mwendelezo wa ulaji wa mara kwa mara lakini afya nyingine kwa ujumla iwe sawasawa, lazima ale vyakula vinavyompa nguvu, na viambata vingine ambavyo vinapatikana ambavyo pia ni muhimu lazima kuwe na mchanganyiko wa vitu vingi.”