Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha lol! Hii clip inafurahisha sana. Huyu dingi akiendeleza hii na dogo basi atakuwa muongeaji mzuri sana na confidence ya hali ya juu. Anayobwabwaja 😂😂😂 hapo anayajua mwenyewe lakini kwa akili yake anaona dingi anamuelewa. Bomba sana.
👊🏽👊🏽👊🏽

Amefurahi kweli leo baada ya ushindi wa liva ! [emoji3]View attachment 1189354
 
Hahaha

teh ... Sio mimi huyo mkuu

Alkua na lishabiki flani la asenali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…