Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kwenye kada ya kubeba maua hakuna wa kumfikia Poti. Acheni kudanganyana. Hicho ni kipaji cha wagumu (uchwara) pekee [emoji16][emoji16]
Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Lucifer Orijino is mai aza neimu mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei indeed wallahi the one and only one Amun Ra [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Msasani peninsula View attachment 1190722
Na hapo ndipo penye ujumbe hasa niliotaka kuuwasilisha. Kwema?Poti umepiga mulemule, ulipoharibu ni hapo tu kwenye “uchwara”. [emoji16][emoji16]
Kukutana kivipi mkuu humu jukwaani au kitaa?Wewe sijui tumewahi kukutana wapi mkuu.
Amani itawale jioni yetu
Utaishia kuvimbiwa tu. Hii kula pole pole at least kwa siku tatu kabla hujaenda kutetea heshima ya ukoo....[emoji16][emoji16][emoji16]Usiku huu pata kitu kama hiki, kisha asubuhi lete mrejeshoView attachment 1190704
Hahaha mkuu [emoji28][emoji28][emoji28] in ISIS' voiceMasaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai Lucifer Orijino is mai aza neimu mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei indeed wallahi the one and only one [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Chukua like yako nawewe (kwa sauti ya jembekilio)Jamani naombeni mlike hii comment yangu nikawaringishie kule mbokomu...
Namchokozaga sana lakini huwa ananiiginoa tu. Huko aliko si ajabu huwa anaishia kucheka tu....Hahaha mkuu [emoji28][emoji28][emoji28] in ISIS' voice
Aisee maumivu wanayapata wajumbe wa CHAPUTAUtaishia kuvimbiwa tu. Hii kula pole pole at least kwa siku tatu kabla hujaenda kutetea heshima ya ukoo....[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1190753
Simuoni siku hizi na zile picha zake 😅😅Namchokozaga sana lakini huwa ananiiginoa tu. Huko aliko si ajabu huwa anaishia kucheka tu....