Unajua kwa sisi wengine ambao tunatumia ndege kwa asilimi 80 ya safari zetu inafikia hatua ukapanda nasi unaweza sema ni staff. Kwa mfano mimi ndege zangu ni Qatar Airways yaani hunitoi kwa hawa jamaa. Kwanza wana best huduma huwezi fananisha na Emirates hata kidogo. Nimepanda pia KLM...