Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
ExactlyWaterboarding?
Mbagala nilifika mbu na makelele ya majirani vikanisumbua nikakimbia Kolomije. Mwezi huu mwishoni Mbagala tena; na safari hii nimejipanga vizuri hasa dhidi ya mbu. Huko kwako vipi? Kwema?Shemeji kwema?
Vipi ulishafika Mbagala au bado upo Kolomije?
Ankoo hiyo shikamoo achana nayo, kwanini hicho kigauni kisipande kidogo tupate kuzuumu kama yaliyomo yamoo?
#kwamachonayonitiba