moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wagalatia tulipigwa chenga la macho kwenye hii ishu. Mashujaa wa imani akina Sulemani, Daudi hata Ibrahimu mbona walikuwa na wake zaidi ya mmoja? Kwenye hili mi sikubali !!![emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1199291
Marahaba Ankoo kwema huko? Endelea kumkaba huyo mgumu dhaifu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anko shikamoo [emoji4][emoji4]
Unaamini haya mambo ya akina Sheikh Yahaya poti?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwema kabisa ndugu yangu,vipi huko?Hahaaa, kesi imeshafika kwa Jaji sasa. Habari ya uzima? Halafu ukapime tezi dume, ooh! [emoji16][emoji16]