Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Indeed!
Anacho kutafuta atakipata
Anacho kutafuta atakipata
Ulale
Leo net siweki, Nina miaka zaidi ya 3 sijanywa mseto.Nakusubiri ukaweke net[emoji2089][emoji2089]
Leo net siweki, Nina miaka zaidi ya 3 sijanywa mseto.
Nimeumiss
Kean the captain himself! hata simsikii tena sijui wapi yupo.Midfielder wa kutisha enzi zake, na yale mashuti yake makali ya nje ya 18.
Wapi Roy Keane
Kean the captain himself! hata simsikii tena sijui wapi yupo.
Kunae malafin, tusiopenda madonge yule ndio mkomboziJiandae na mseto, ikigonga mwamba utakutana na Quinine ikuchoshe
ameamua kuwa mnafiki kwa asilimia 50, unadhani kama mwalimu asingelikuwa rafiki yake kipenzi bwana OGS angelizungumza maneno hayo?
Ingawa anachosema ni sahihi.ameamua kuwa mnafiki kwa asilimia 50, unadhani kama mwalimu asingelikuwa rafiki yake kipenzi bwana OGS angelizungumza maneno hayo?
hapo ndio ninapowachukia waingereza.
na wewe piaMuwe na usiku mwema