Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wadada zetu hawa wanavyopapatikia wazungu si ajabu mzungu na maua yake ndo akatwaliwa. Kwenye uhalisia namba 3 ndiye atashinda kwa hali ya sasa. Huyo aliyeshika kifua mpaka namhurumia [emoji16][emoji16][emoji16]
namba 1 anatokea wapi?
anaomba mechi ya kirafiki na msichana from kolomijee huku amepiga magoti kama anamwomba mtakatifu yesu kristo
 
Aisee sikuwahi kujua mpendwa kumbe una roho nyeusi hivi dah😃😃
kosa langu liko wapi haliyakuwa nimenukuu wahenga.

jino langu la mbele linaniletea maumivu lakini sijafikiria kulitoa, naogopa kuwa na sura ya zombie.
nagonga maji ya baridi then nashindia chumbani na maumivu kama kenge aliyekatwa mkia.
halafu kibaya zaidi umri huu wa ujana ukishang'oa jino halioti tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…