Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nenda kwa dentist bana akaone la kufanya. Pengine hata halihitaji kung'olewa...Mpendwa linauma siku mbili sikupitiwa na usingizi,leo nimeweka karafuu kidogo limepoa.
amewadhalilisha mabahariaNamba 1 boya tu hasa katika mazingira ya sasa. Eti anatoa moyo wake. Nani anajali moyo na mapenzi ya kweli siku hizi?
Pole mpendwa.Mpendwa linauma siku mbili sikupitiwa na usingizi,leo nimeweka karafuu kidogo limepoa.
Asante sana.Pole mpendwa.
teh teh tehMpendwa maji ya baridi nijuavyo yanazidisha maumivu unaweza kuhimili vipi,Aisee Jamanii jino linauma vibaya ☹☹☹
Elon smokes weed
Sawa Bro, karibu sana.Shwari kabisa, namshukuru Mungu.
🙏🙏Shukrani nazingatia ushauri wako mpendwa.Nenda kwa dentist bana akaone la kufanya. Pengine hata halihitaji kung'olewa...
Pole sana kwa sababu muziki wa jino siyo mchezo...
Na kwako pia.Muwe na usiku mwema
Thanks bro.Sawa Bro, karibu sana.
nikitembea safari ya mbali lazima chupa yangu ya karafuu iwe pembeni yangu kama mganga na hirizi.Mpendwa linauma siku mbili sikupitiwa na usingizi,leo nimeweka karafuu kidogo limepoa.
Ya lini, kesho?Una ratiba ya EPL bro unirushie?
Karafuu inatibu maumivu ya jino?nikitembea safari ya mbali lazima chupa yangu ya karafuu iwe pembeni yangu kama mganga na hirizi.
wamasai pumbavu zao waliwahi kuniuzia mavumbi ya mzambarau