capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nilishuhudia boya mmoja kafuma texts za mapenzi za mkewe akaja juu lakini moto ukamgeukia ikabidi yeye mfumaji ndo aombe msamaha halafu anatukanwa eti hana kifua. Haya mambo we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
We si ulisema mapenzi yanauma kuliko jinoNilishuhudia boya mmoja kafuma texts za mapenzi za mkewe akaja juu lakini moto ukamgeukia ikabidi yeye mfumaji ndo aombe msamaha halafu anatukanwa eti hana kifua. Haya mambo we acha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Unalala saa tatu kama mtoto wa shule? Acha hizo!Hivi sasa ni saa tatu kamili, ndugu watanzania wenzagu umefika muda wa kulala, msisahau kusali na kushusha chandarua.
Mlale salama .
Siyo kwangu lakini.We si ulisema mapenzi yanauma kuliko jino
[emoji23]
Nimelikumbuka ilo tangazo alikuwaga analisema kikwete ikifika saa 3.Unalala saa tatu kama mtoto wa shule? Acha hizo!
Au unakimbilia pipi kama anavyosemaga jirani? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nimelikumbuka ilo tangazo alikuwaga analisema kikwete ikifika saa 3.
Nimezoea kulala mapema, nalala sahivi nashtuka saa 5 narudi humu [emoji23][emoji125]