moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🙏🙏🙏Mungu atupe siku njema
08:2608:25
Asanteee... na kwako piaAsubuhi iwe njema
Iko wapi?Asubuhi ya chai
Wow!
✔✔✔MACHOZI YANAYOONDOA STRESS?
Wanasayansi wamegundua kwamba Emotional tears (aina ya tatu) huwa na kiwango kikubwa cha madini ya manganese na homoni za prolactin ambazo husaidia mliaji kujisikia ahueni baada ya kilio. Ukweli asilimia 85 ya wanawake wanakiri kwamba baada ya kutoa machozi au kulia kujisikia relief na wapo relaxed.
Karibu hapa kwetuIko wapi?
Sijambo Moudy.. U mzima?Hee, hujambo bibie
Asante..Karibu hapa kwetu
💯✔✔✔Watu wenye furaha hawaumwi mara kwa mara na huwa na kiwango kidogo cha maumivu
Watu ambao wana mood nzuri wana nafasi nzuri sana ya kuimarisha furaha ambayo huwasaidia kutoumwa homa za mara kwa mara na huwa na kiwango kidogo cha maumivu tofauti na watu ambao wana mood mbaya.