Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Na wewe unataka kwenda kuhiji Kidia Lodge?
Halafu ilivyokutoka sasa. Mwenyewe hapa nimecheka sana...Si kwa wewe hapo[emoji3][emoji3]
Wallahi ningekuwa na Mpesa yako ningekurushia mkwanja wa supu kwa mwezi mzima. Hata huna haja ya kuja Kidia. Kidia mwachie Depal [emoji16][emoji16][emoji16]Sijali wapi nataka tu hiyo supu[emoji3][emoji3]
Na mavita yaliyofuatia yamewacost sana...billions of $ and lot of blood...Ilikuwa habari mbaya sana, hawatasahau.
RPG...Wamarekani walimuuzia Osama kibao hizi wakati anapambana na Warusi. Wameenda wamezikuta bado zipo zimewamaliza kweli kweli