moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
mpira umenishinda, ngoja nisubirie half time kuna fala anaangalia mpira wa yanga na cha kumfanya sina
teh tehumesahau kulogout mkuu, multiple ID inahitaji umakini
Parachichi natafuna Mimi, sijawai kumung'unyaUmesha wahi kumung'unya parachichi?
Mkuu utaniharibia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti sampo. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
umesahau kulogout mkuu, multiple ID inahitaji umakini
Safi sana njoo alafu kumbe ratiba ya mechi unatatilia siku hiziAya nakuja, tutizame mechi[emoji56]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ankoo hawa yuu huko?[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444]
Babuu, ankoooo......heshima yakoo
Arudishe hela za Gadafi ila namshukuru sana kwa kujenga hoteli ya nyota tano Kanda ya Juu Kusini [emoji16][emoji16]
moudgulf mwambie syb kawekwa kwenye chupa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]View attachment 1207442
ππππ MkatalunyaNaona unapiga pini hapo juu kama Wanna Bissaka na Si Halima magwaya
Likes zinaendelea kutolewa
Ni hiyo hiyo iliyoniletea kashfa kamanda. Nashuka eapoti na slei kwini wangu moto ananisubiri kumbe makamera ya wambea yapo yanaona. Ikibidi nizindue ishu ya Brazil ili kuiua hii ya Nyanda za JuuNdiyo ile uliyokula bata Kamanda[emoji23]