andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Usiwaze sana Anko, maisha ni haya haya...Kutokana na changamoto za kimazingira, kiuchumi na kijamii, watu wengi wamejikuta wakikosa furaha. Ni wazi kuwa kukosa furaha kuna madhara makubwa kwenye afya ya mwili, akili na hata katika utendaji wako wa kazi.
Bee Brathee
Embu wavunje hiyo chupa wamkomboe huyo jamaa [emoji16]
Yaani ni balaaEeeh ikawaje....
Ameshakuja na kuweka mambo sawa. CR7 yuko juu daima [emoji818][emoji818][emoji818]
Sijambo Mpenzi, hofu kwako.Haujambo?
Nipe dokezo kidogo tu mzee wa TMK[emoji23][emoji23].
Kasome "kisa cha jini na mvuvi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkatalunya