Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siku ya vipensi hiyoooo...View attachment 1207602
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SYB acha utani wa ngumi
Bado dakika za kutosha city chenga nyingi ,ila goli wanapigwa nzuri tuMpira umeisha kwani?
Niko mahali hapa hawaonyeshi dah...Bado dakika za kutosha city chenga nyingi ,ila goli wanapigwa nzuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko mahali hapa hawaonyeshi dah...
Leo Majamaa leo yanaadhirika.
Na The Happiness masikini wakamdanganya mtoto wa watu kwa ahadi kede kede na maneno matamu...
Usijali poti mie nawapenda,nawajali nimeamua kubeba machungu yenu nimebadili channel kwa mahasira haiwezekaniiiiiiiiii tufungwe kiasi hikiLeo.... [emoji16][emoji16]
Usijali poti mie nawapenda,nawajali nimeamua kubeba machungu yenu nimebadili channel kwa mahasira haiwezekaniiiiiiiiii tufungwe kiasi hiki
Please visit my chamber for more helpAsante
Hahahahaha jamanUlale sasa, si usiku saa hii? [emoji16][emoji16][emoji16]