4.Ngozi ya mchanganyiko(combination skin)
Hii ni ngozi ambayo ina sehemu ambazo zina mafuta na sehemu nyingine ambazo ni kavu, hivyo ni mchanganyiko wa ngozi yenye mafuta na ngozi kavu au ngozi ya kawaida.
Mara nyingi sehemu za uso kama vile paji la uso,kwenye pua na kwenye kidevu kunakuwa na mafuta mengi, wakati sehemu za shavuni na maeneo yote kuzunguka mdomo na macho huwa ni kavu.
Hapa unatakiwa utunze hizo sehemu za ngozi kutokana na aina yake,kama hiyo sehemu ina mafuta, tunza kama ngozi yenye mafuta,pia tumia njia za kutunza ngozi kavu sehemu ambapo kuna ngozi kavu.
Huyu mzee hapo alifungwa kifungo cha maisha mwaka 1953 baada ya kujihusisha na uhalifu wa kutumia silaha akiwa na umri wa miaka 16, kwenye Gereza moja nchini Marekani
Gereza alimofungwa limeamua kumuachia huru, hasa baada kukaa gerezani hapo kwa miaka 66, hata hivyo mzee huyo amekataa msamaha huo, ameomba abakie humo amalizie maisha yake