moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Morning capitalpool moudgulf
Afternoon Depal,Morning capitalpool moudgulf
"Kijana umefanya kazi kubwa sana"..View attachment 1208713
Huyu mzee hapo alifungwa kifungo cha maisha mwaka 1953 baada ya kujihusisha na uhalifu wa kutumia silaha akiwa na umri wa miaka 16, kwenye Gereza moja nchini Marekani
Gereza alimofungwa limeamua kumuachia huru, hasa baada kukaa gerezani hapo kwa miaka 66, hata hivyo mzee huyo amekataa msamaha huo, ameomba abakie humo amalizie maisha yakeView attachment 1208698