Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nimevutiwa na macho yako mazuri kama vidonge vya chloroquine.
nimevutiwa na pua yako ilivyo nzuri zaidi ya kisheti cha bibi patima
vidole vyako vilaini kama shindano ya ganzi.
wenye wivu acha wajinyonge ila kwako nimefika bibieee.
ebooos halafu iyo pete niliokununulia imetengenezwa kwa madini ya chumvi ya baharini

i love you so much bibi mwenye nywele nyingi kama muhindi wa chato.
i kanti livi widhout yuu end yesteday i sow yoa butylicous in may dreeemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…