capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kwani mkuu unamjua katotokatoto kazuri huwa hakaridhiki hivyo danga alilopata hapa JF litajuta kuzaliwa
Niko sawa,Poa capitalpool mzima wewe kwani ile thread tuliyokuwepo mmu imeunganishwa humu nini [emoji134][emoji134][emoji134]
Nilijaribu kutupa nyavu ila bill ilinishinda ingawa pikipiki yangu niliipiga mnada haikusaidia. Sijui anasoma accounts pale chuo cha uhasibu Arusha. Mie siyajui mambo ya kusoma maana niliishia darasa la piliKwani mkuu unamjua katoto
vizuri kukuona hapa, karibu sana.Mie nimecomment kwenye uzi wa katoto kazuri nashangaa nipo humu
Em sikiliza wimbo wa gozbert kwanza ule wa shukurani,.majibu yako mule babe😄Hahahha ebu kwanza nipe muhtasa yanahusu nini kwanza hizo shukrani
Aisee tulikuwepo kwenye thread ya katoto kazuri mmu naona wameileta humu mods sijui wanakuaga vipiNiko sawa,
Sina hakika nadhani wewe ni sababu ya tatizo,ulipotea sana kwa Uzi.
Hahahahaha wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91] nikajua na wewe unakuja kuishukuru jfEm sikiliza wimbo wa gozbert kwanza ule wa shukurani,.majibu yako mule babe[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana mkuu siku nyingine usiingie mkenge hivyoNilijaribu kutupa nyavu ila bill ilinishinda ingawa pikipiki yangu niliipiga mnada haikusaidia. Sijui anasoma accounts pale chuo cha uhasibu Arusha. Mie siyajui mambo ya kusoma maana niliishia darasa la pili
Aisee tulikuwepo kwenye thread ya katoto kazuri mmu naona wameileta humu mods sijui wanakuaga vipi
Hahaha kupotea kwangu ndio waunganishe thread ya watu kwenye likes
😂😂😂wooooiiiiiHahahahaha wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91] nikajua na wewe unakuja kuishukuru jf
Pengine waweza kupoza machungu, au siyo? Natanguliza shukrani zangu za dhatiPole sana mkuu siku nyingine usiingie mkenge hivyo