Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daemusin avatar yako BAK hawezi iangalia hata mara moja hahaha
huyu kaka mkubwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ccmReptilia.
hivi ile kesi ya mkulima wa mananasi juu ya ukomo wa raisi inaendelea lini?

nimesikia maamuzi ya rasmi yatatangazwa baada ya kupatikana mshindi wa uchaguzi ujao.
kuna ukweli wowote?
 
😂😂😂😂😂😂😂hapana Mkuu weka avatar yeyote ile uipendayo hakuna tatizo.
yule jamaa kuna siku lazima ile picha ataizungumzia kwenye hotuba yake kama alivyochorwa vibaya na kipanya.
si unajua mjomba ni mvurumishaji maneno.

eti tundu lisuu amelikimbia jimbo lake.
dah kumbe raisi wa nchi anaweza kumzuia mbunge asipeleke huduma yoyote muhimu jimboni kwake.
only in Tanzania .


Rais wa Tanzania, John Magufuli amempongeza mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu akisema jimbo hilo lilikuwa limetelekezwa na Tundu Lissu.
 
Mtu asiyekuwa na uwezo wa kuongea mbele ya hadhara huyo Mkuu. Huchomekea mambo mengi yasiyohusu kitu kuchekesha kadamnasi, lakini hakuna cha maana alichozungumza.

 
huyu kaka mkubwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ccmReptilia.
hivi ile kesi ya mkulima wa mananasi juu ya ukomo wa raisi inaendelea lini?

nimesikia maamuzi ya rasmi yatatangazwa baada ya kupatikana mshindi wa uchaguzi ujao.
kuna ukweli wowote?
Bahati mbaya siasan huwa nafata likes tu. Leo nikitaka likes za ccm naenda kuwa upande wao,nikitaka za cdm napo hivyo hivyo . mengine huwa sifatilii kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…