D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
code nyepesi kama urojo wa bihalima kibuno.Aiseeee hii code ngumu kuliko maisha yangu, mpendwa tufafanulie tafadhali.
Hawachi, mambo?Eti rafiki yako ana kumpotezea Mungu aingilie Kati kwa hili.
Ok nimekuelewa mpendwacode nyepesi kama urojo wa bihalima kibuno.
View attachment 1215713
View attachment 1215715
nipeni faida ya kufollow account ya member mwengine tafadhali, isije ikawa nakosa raha za bure kwa uzembe wangu
Safi, nimeandika nipate like hakuna anaye nipotezea.Hawachi, mambo?
Nani anakupotezea??
Okay, hujambo?Safi, nimeandika nipate like hakuna anaye nipotezea.