moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Mzee Mwinyi ameteuliwa kuendelea na wadhifa huo kuanzia September 25,2019.
12:0810:08
Safi, uliadimika! Hope kila kitu kipo poaNipo dada yangu, mambo ni vipi?
Sijambo Mo, habari yako?Hujambo bibie Depal
Sijambo Mo, habari yako?