moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sijaielewa
Mi mzima MG sijui wewe...Mzima weye[emoji1787]
Dinner time π²
watu wa tanzania bara munapenda ugali na sembe ndio maana muna vichwa vikubwa.Chakula chetu maarufu pande za huku kwetu.
Miono, Kimanzichana, Kwara, Vikumburu, Kisaki, Singisa nk, nk.nk
Nadhani Tanzania yote kinaliwa hichoView attachment 1216614
ππππππππππππππππππππππππ jamaniwatu wa tanzania bara munapenda ugali na sembe ndio maana muna vichwa vikubwa.
Hee... Mi ningekuwa Senior Bachelorette wa Kijiji...Ukipata nafasi ya kuhama bara hili, we hama tu kiroho safi[emoji849][emoji849][emoji41][emoji41] View attachment 1216467
KaribuuuNikaribie?
Karibuuu
πYou Wish! Mbingu ipi?View attachment 1216284
ππππππ
hivi munaweza kukaa japo siku moja bila ya kupika sembe majumbani mwenu?Daemusin umenichekesha ππππππππππππ daah!
Na wewe nae... Labda nilifuta?View attachment 1216721
View attachment 1216720
kituko cha leo ndani ya JF.
nimeletewa alerts Fragaria ameinukuu comment yangu lakini ukiufungua ujumbe unakuta kumbe fragaria ameinukuu comment ya Depal .
kupatwa kwa JF.
haingii akilini,Na wewe nae... Labda nilifuta?