myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa..nina wasiwasi huenda Depal anafahamu alipo.
ngoja atoke usingizini ili tupate kumuuliza maswali.
mara ya mwisho niliona comment alhajj BAK anamwambia depal wakutane forodhani zanzibar.
Duh!Ikumbukwe kuwa Habyariman alikuwa ni mtoto wa ubatizo wa Mobutu seseseko Kuku Ngwendu Wazabanga Raisi wa mda mrefu wa kongo-DRC iliokuwa ikijulikana kama Zaire wakati huo. Siku iliyofuata yani Katika siku ya pili ya mapambano, Rwigyema alipigwa risasi kichwani na kufa, inadaiwa kuwa pamoja na tamaa ya wapiganaji wa RPF kutaka kupora mali na vitu wakati wa mapigano kuliwafanya kushindwa vibaya vita kitu kilichochangiwa na utovu wa maadili ya jeshi.