Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni balaaa binti mpoleMnaoulizia walipo ningendako na Davet haya hawa hapa ni mwendo wa kukesha lecture roomView attachment 1216629GPA zinatafutwa banaView attachment 1216632
TupoKuna wanachama wanaoangalia bbnaija humu
Nije tucheck movie sio?Jumapili njema ninayo tayari, this time nakutaka wewe.
Salama Ninge, za kuadimika?Salama mrembo?
Salama.Habari yako
Nimepigiwa simu kabisa kwamba ingia Likes umuone jamaa karudi .... Mambo yanaendaje pande hizo za Sarah?Kwema wanafamilia??... Hope kila kitu kinaenda sawa, Tumshukuru Muumba
Salama.
Za j'pili?