Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu ya Tanzania Taifa Stars imetutoa kimasomaso kwa kutufikisha NUSU FINAL ya mashindano ya COSAFA.
Potelea mbali hata kama tumetolewa kwa goli nyingi 4 -2 ila kwetu wabongo huu ni ushindi mkubwa sana na muomba mzee mwinyi afute kauli yake ya kichwa cha mwendawazimu sisi kwa sasa ni TIMAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…