Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani J. Malinzi amekutana na J. Rugemalila huko Rumande sasa huko nani anamtambia mwenzake maana wao akiwa muhaya peke yake ndio amesoma sasa wamekutana wawili maarufu huko sijui mtifuano wake utakuaje nshomileee nshomileee mpaka TFF but no kozi na mwezake anasema Nshomilee mpaka ESCROW but kozi imekuwa jera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…