Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Mpira umejaa pomoniAmejaa sana burudani, ana mpira mwingi mpaka unamwagika
Nakupata broMambo yanakua mengi mwisho wa mwaka,
Ila taratibu nitarejea.
Pamoja sana Dave,Nakupata bro
Naskia habari za Coach wa PSG kuja UNITED!Nipsey Husle- Grinding all my life
Naskia habari za Coach wa PSG kuja UNITED!
Wadau wanasemaje Bro? Au media tu