Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku salama bro..
Asante sana bro,acha tupiganie heshima ya ukoo.
Kupigania heshima ya ukoo ndiyo mpango mzima bro. Hata ukifa katika harakati hizo streiti unakwenda mbinguni. Kila la heri bro katika harakati zako. Wastaafu siye tunawaangalia tu vijana. Mkihitaji ushauri msione aibu kuuomba [emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

sawa bro, tupo pamoja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…