Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Watu wahuni sana.
Dagaa = BudagalaAidha, dagaa pia ni chanzo kizuri cha Vitamin B12, ikiwa ni chanzo kizuri cha pili baada ya maini.
Kwa imani ya watu wengi, dagaa ni kitoweo cha kimaskini, huonekana kuwa kununua dagaa sokoni au ‘super market’ kwa ajili ya kitoweo, ni dalili ya muhusika kuishiwa au kuwa na bajeti ndogo.
Kweli kabisa !!!
View attachment 1228508