Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ’ͺπŸ’ͺ gr8 mind, gr8 idea

Kwenye lile deni ninalokudai (The Other Side of Midnight) Ongeza na hilo la mapendekezo ....

#UkijaMlimaniTutayajengaZaidi
 
Safi bro,
Hako kakitabu sasa tutakapatia wapi?
 
Hongera sana kamanda, nakutakia kila la kheri kwenye mikakati yako.
Taifa letu pia linawahitaji watu kama wewe ili siku moja tubalishe vision yetu.
Inawezekana kweli Waziri atakitupa hicho kijitabu, lakini usikate tamaa, ipo siku atajitokeza mwingine atahamasika na ushauri wako[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Natamani kujua zaidi kuhusu hii sehemu
Amazing!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…