andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimeona ile ya kutingisha minyama. Nimejisemea tu hiiiii...Mpaka konekshen anko
Mimi najitahidi sana, kila niendako kama waifu hayupo natafuta mmoja tu wa kuwa nae. Kuwa na wapenzi wengi eneo moja ni matumizi mabaya ya parachichi.
Sijaona nilidhan kuna miuno ya gwaji boyNimeona ile ya kutingisha minyama. Nimejisemea tu hiiiii...
Unaenda wapi?Nitaumisi sana huu uzi
Another new pilau daah poor herView attachment 1228670
Unaenda wapi mpendwa?Nitaumisi sana huu uzi