moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Naisubiri Ankoo [emoji1][emoji1][emoji1]Tayari ninayo Anko [emoji23]
Salaam mzee wa pwani... Mvua hizi mzee mwenzangu, kwema?[emoji23][emoji23][emoji23].
Salaam mzee wa Mwakaleli
Halafu wanamcheka vimatako vyake eti vimejaa mabunye yanayoashiria utapiamlo. Wabongo bana du [emoji16][emoji16]Menina daah
Kabadili dini juzi juzi
Kaolewa ndoa mbili moja kamkimbia mumewe nyingine kaachika
Mvujisha picha na video ni mwijaku
Aisee!!!Angalia kwa makini kisha tuambie umeona nini?View attachment 1228825
Nimeona ile ya kutingisha minyama. Nimejisemea tu hiiiii...
πππ Poa AnkoNaisubiri Ankoo [emoji1][emoji1][emoji1]