Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwamba huyo fala ndo kampindua huyo mtoto? Kama ni yeye basi huyo binti atakuwa ameathirika kisaikolojia. Ila kuna video ni kama amejirekodi mwenyewe
Anko huu usasa wengi wanajirekodi kisha wanawatumia wapenzi wao au kuwapa simu kwa syle ya hakuna kufichana mwisho wa siku wakigombana mambo hadharan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…