Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na mimi nmeanza kuamini
Finally tumekumbukwa!!
Ahsante kwa kunikosa.!!Usinifanyie hivyo Buana,
Unajua kabisa siwezi kusema hapa.
Sina koneksheniHadi Magu kaona me sijaona?! Emu fanya nione basi ..
Lete kideo basi 😂Leo uzi huu ni faya. Safi sana wapendwa. Bila huu uzi kutokana na steresi tulizonazo wengine ingekuwa shida tupu. Lakini mtu ukija hapa steresi zote zinayeyuka. Asanteni sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kabisa hata mimi niko hoves 🥴, ila naona napata nafuuLeo uzi huu ni faya. Safi sana wapendwa. Bila huu uzi kutokana na steresi tulizonazo wengine ingekuwa shida tupu. Lakini mtu ukija hapa steresi zote zinayeyuka. Asanteni sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahah! Anatamba balaa sema wewe nae ulipokosea ni sehemu ndogo sanaNitaachaje kumwona wakati amenyanyuka benchini akaja kunipindulia meza🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
#hatujasikiabado
Mimi sina account insta. Nilisahau login nikaitelekeza mazima.Lete kideo basi [emoji23]
#watumnaoshindainstamnatunyanyasa
#siewafacebook
[emoji23][emoji23][emoji23]Binti wa kisukuma anakaba kila kona [emoji3][emoji3]