Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakili wa TAKUKURU, Faraja Sambala ameieleza Mahakama ya Kisutu, jinsi Mhadhiri wa NIT, Samson Mahimbo (68) alivyokutwa akijiandaa kufanya ngono na mwanafunzi wake, ambapo amedai mshtakiwa alikuwa akifundisha somo la Usimamizi wa Barabara na Usafirishaji na kwamba Victoria Faustine alikuwa miongoni mwa wanafunzi wake na hivyo mshtakiwa alitumia madaraka yake vibaya kwa kuomba rushwa ya ngono kwa Victoria.
_
Sambala ameeleza kuwa s mshtakiwa alimpigia simu mwanafunzi huyo akimsisitiza wakutane na walikutana Bar iitwayo Shani iliyopo Mwenge, mshitakiwa alikuwa na mtihani wa marudio ambao Victoria alitakiwa kufanya, karatasi ya majibu na marking scheme, akamsahihishia na kumpa alama 67 na baada ya kumaliza wakahamia kwenye Bar na nyumba ya kulala wageni inayoitwa Camp David, iliyopo Mlalakuwa Mwenge
_
"Walikunywa na kulewa na kuchukua chumba na kuingia ndani na kwamba mshitakiwa alianza kuvua nguo na kubaki na nguo ya ndani akaanza kumkumbatia Victoria na kuanza kumvua nguo zake na mara walisikia mlango ukigongwa na Victoria aliufungua wakaingia maofisa wa TAKUKURU, muhudumu wa baa na mjumbe, walikuta nguo zipo juu ya meza"
_
Mshitakiwa yupo nje kwa dhamana na kesi itaanza kusikilizwa November 11,2019 mwaka huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wewe? Wakuniombea mie magonjwa ya moyo
Wewe ni kabinti kazuri kweli kweli, hawa vijana wenzio ni hiti endi rani... Kwahiyo nimesemea tu na ndio maana nimetumia neno "nijaribu"... Unajua nini? Matumizi ya jumla kwangu sio ya msimu kama hao akina nanihii wanao tegemea show za kikabe... Mimi ni mambo ya.... in slow motion and steady
 
We all have times
when life seems hard,
when you're frustrated and tired
and just want to hide away.
If that's you now, don't worry.
Every caterpillar has to rest
to become a butterfly,
and you'll soon feel
your wings again.
In the meantime,
let your angels
wrap you in theirs.
You are so loved.
.
.
[emoji92]


Good night fam[emoji177][emoji177]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa nguvu khaaa!
Ankoo i salute you[emoji119][emoji119]
 
Sina koneksheni
#mjiniwatuwananyimanahadidhambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…