Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakika, Leo tangu mapema asubuhi uzi umebamba sana.
Naona vichwa vyote vipo hapa.
Tumewakosa wakongwe wachahce tu
Leo uzi huu ni faya. Safi sana wapendwa. Bila huu uzi kutokana na steresi tulizonazo wengine ingekuwa shida tupu. Lakini mtu ukija hapa steresi zote zinayeyuka. Asanteni sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Lyon wameshindwa mipango yao ya kumsajili kocha wa zamani wa Chelsea na Manchester United Jose Mourinho. Kocha huyo mwenye mika 56 raia wa Ureno anataka kurejea kwenye ligi ya Primia ya England. (Mirror)
 
Mshambuliaji wa Ujerumani Thomas Muller, 30, hana furaha baada ya kupunguziwa muda wa kucheza katika klabu yake ya Bayern Munich na amekiri kuwa anaweza kusaka timu ya kuhamia mwezia Januari. (Kicker, via Mail)
 
 
Kiungo wa Barcelona na Croatia Ivan Rakitic, 31, ambaye alikuwa akihusishwa na uhamisho kwenda Manchester United msimu uliopita, amesema kuwa huenda akaihama klabu yake ili kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza. (Mail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…