ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Panda miti kata mtiMpiga miti
Huwa kinaonyeshwa kinaitwa hivyo hivyo rob and chyna sema kun kipindi chyna alikua kama anazingua ku shoot rob akawa analalamika kwa nduguze kuwa chyna hataki na yeye anataka hiko kipind kiendelee mana ndo anaona ni mda anaokua karibu sana na chyna...Haha sijawah kukiona hicho kipind
Chyna bana hatabiliki. Alihaidiwa mamailion na chris ili awape mtoto wamlee wenyewe akazingua ona sasa wanamchukua kiulainiii