Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapana bro mimi ni team Mfalme kindaki ndakiFeaturing umesahau au wewe ni team ile
Ni biashara lakini sio tangazo la biashara bro nimepost wadau wasafishe macho na mimi nipate likes tu....Bro,
Naona kama kuna kitu sema sijaelewa.
Ni biashara au?
Yeah, huwa nautizama sanaUmeupenda eh!
Mambo poa Bradha, siku imekwisha salama...vipi weweTh mambo?
Siku imeendaje hapo?Umekula vizuri?
Sawa kabisa JiraniPenda kama unavyopendwa
[emoji3448][emoji3448][emoji3448]
Ahaa, big up bro.Ni biashara lakini sio tangazo la biashara bro nimepost wadau wasafishe macho na mimi nipate likes tu....
Ikitokea muda umepatikani hiyo ni moja ya Art ambayo tunafanya katika maisha halisi
Ndio mimi ni chibonge kama wewe Capitalpool.Sawa mpendwa wangu mhenga mwezangu.
Afu kumbe wewe ni Chibonge Mhenga mwenzangu Eeh?
No wonder SYB anapata tabu sana na wewe.
Eehwaa, nimemis supu Mr rango[emoji39][emoji39]
Eehwaa, nimemis supu Mr rango[emoji39][emoji39]
Money heistLa casa de papel