myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Heheh!#hayomakalinimemuachiaankoo
#mienimezoeavitulainikamarobertson
Nawe unafikaga mpaka huku kwenye uzi huu wa ajabu ajabu usioeleweka? Au ni uzi wenu wa maana umetupiwa huku?
Ama kweli duniani wawili wawili ,_anafanana Sana na Mzee mmoja hapa kitaa
Malumbano yenye kusababisha ban.
Jukwaa la siasa kule huwezi kosa malumbano
Wanasiasa tatizo mambo yao mnafuatana hata nje ya JF hawana dogo.
Aaah wapi
#naonakamamimindonnayetafutwa[emoji124][emoji124]
Nenda kwenye siasa ukaanzishe ligi baina ya wafuasi wa Fisi na wafuasi Nyumbu, utapata ban ya uhakika bro[emoji23][emoji23]
Hapa ni mahali pa amani hakuna aliye tayari na mechi za mchangani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Mambo vipi Alicia keys wetu?
Amani itawale usiku wetu