myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtu ya kazi...
Kweli kabisa na wanawake walikubali kuwa nao wanapenda waitwe mke wa fulani bila kujali wako wangapi, hata wakiwa tisa.Unabii umetimia!
Shemeji unakunywaga? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ewaaaa[emoji39][emoji39][emoji39]
#hadinimesikiakiu
#weekendifikemapema
Wasukuma bana dah [emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisa mkuuHamjamboni waungwana?
Nyoosha baba nyoosha tena ongeza moto mpaka nguo iungue kabisa ikiwezekana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa wanaume wanaoporwagwa wakoje hawa? Mbona wengine huwa hatupati hiyo bahati ya kuporwa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Warioba utapigwa tena ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]