Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Goodnight Fam☔
#punguzaSautiMambo safi kabisa my Upcoming soulmate......Si ulinificha jana😉
*Sheria za Msingi za Kuishi Pamoja!*
.
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upendo
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Jibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. 😀😀😀😀.... Hudumia
.
Ukizifuata sheria hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Nawe pia Sis
Goodnight Fam[emoji299]
Aisee*Sheria za Msingi za Kuishi Pamoja!*
.
1. Ukifika sehemu.... Salimia
2. Ukiondoka sehemu..... Aga
3. Ukisaidiwa....... Shukuru
4. Ukiahidi...... Tekeleza
5. Ukikosea.... Omba msamaha
6. Kama hujaelewa..... Uliza
7. Unacho... Gawa kwa wengine
8. Huna.... Usione donge
9. Ukivunja.... Lipa
10. Kama hupendi...... Heshimu
11. Ukipenda... Onesha upendo
12. Huwezi kusaidia... Usisumbue
13. Ukiharibu... Rekebisha
14. Ukikopa.... Lipa
15. Wakikuongelesha.... Jibu
16. Ukiwasha....... Zima
17. Ukifungua...... Funga
18. Ukinunua.... Lipa
19. Ukichafua..... Safisha
20. 😀😀😀😀.... Hudumia
.
Ukizifuata sheria hizi, utaona jinsi utakavyoishi na watu vizuri hata kama huna hela,hii ni kwa binadamu wote hata kama ni kiongozi.
Heshimu.Kama hupendi..... Heshimu
Kama hupendwi.....?
Yes bae.. Ni kweli unamaanisha hvyo?
Haha sawa broSiyo kumsikia niliwaona machalii kibao waliokuwa wanatembea na Joyce wowowo hapa mjini wakimchezesha miaka hiyo 90'.
Asante kwa hashtag bro!!Tatizo ni kwamba hii kauli inagenerolaizi mambo bro.
Itafanya mtu ajione anachapiwa ili hali sio ukweli.
#KuchapiwaKunaepukika
Naona mnavyojifariji [emoji16][emoji16][emoji16]Asante kwa hashtag bro!!