moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ungesema ya kuongeza nguvu za kiume tayari ungepiga hela kuzidi hata za utalii na madini [emoji16][emoji16][emoji16]Dawa mpya ya malaria[emoji2089][emoji2089]View attachment 1235491
Eksi ni moto kuliko Jada mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Kanamkontroli sana mumewe haka kamama. Halafu kamemwingiza kwenye haya mambo ya Self Consciousness basi tabu tupu [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha, Jada anajiamini sana
Kila mtu na aseme Aaaamen [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16]Bora nikae kimya ila
#kitandahakizaikharamu
#kuchapiwanisiriyandani
[emoji125][emoji125][emoji125]
Kizazi cha wamnyonyez na wamlambez hiki ni taabu tupu !!!Hawa wa kizazi cha tetema watamjulia wapi yondo sister?[emoji23][emoji23]
Nilifikiri KaYego ndiyo kameposti hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Wote hawa wamezaliwa 2000+ halafu wanajifanya wanajua mambo huwezi kuwaambia kitu. Shwaiini !!!Humjui yondo sister?
ningendako na andaeitini wenzio muongezeni kwenye list na huyu[emoji23][emoji23]
Huyu sasa ndio yupo kwenye ile range uliyonipa mimiNa wewe ni mhenga kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilifanya uzembe kuisevu ile avatar ya zamani mpaka najuta. Hii ya sasa hii yaani basi tu....Huyu sasa ndio yupo kwenye ile range uliyonipa mimi
Nyote nyie maandaeitini mnatusumbua tu...[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu sasa ndio yupo kwenye ile range uliyonipa mimi
π π πHumjui yondo sister?
ningendako na andaeitini wenzio muongezeni kwenye list na huyu[emoji23][emoji23]