moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndiyoo kala ake[emoji23]
Hivi ile ligi yenu iliishaje?[emoji23][emoji23]
Nasubiri picha hadi leo ujue?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mie bado nasubiria eti
The same to you buddy.Thought for the day [emoji177]
Remember no one can make you feel
inferior without your consent
Good night fam[emoji179]
The same to you bro.G. night Guys.
Tulio kwenye joto hili halituusu eti?
Aiseeee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mama kama huyu kupumzika na vipodozi anaona tabu nimecheka sana.
Ni aibu kwa kweli.Tena kina mama wazee kama hawa ndo wabapendaga mkorogo sana.
Ni aibu kwa kweli.
Hata kama mtu unapewa ushauri na Mwanamke sio sheria kwamba lazima utimizeMi huwa nashangaa ni nani huwa wanawapa ushauri kujipaka hivyo vitu, maana wanachukiza lakini hawakomi.
Khaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]