Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwema bro natumai weekend iko poaSichaguagi mimi....
Kwema?
Poa sana. Kibaridi cha kishikaji. Kimvua...Kwema bro natumai weekend iko poa
Ooh sisi kwetu leo imepumzikaPoa sana. Kibaridi cha kishikaji. Kimvua...
Ila tu naomba usiniite bro. Huwaga sipendi kuzibiwa ridhiki hivi hivi mchana kweupe [emoji16][emoji16][emoji16]
ASANTE [emoji1545][emoji1545]Ooh sisi kwetu leo imepumzika
Hilo ni jina tu, siku ukitaka kubadilisha linabadilika tu [emoji3][emoji3]
Ili iweje kamanda?like si zigeuke fedha jamani