Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moudgulf na myoyambendi wanaishi nyumba moja.
cha kuchekesha zaidi wakija humu ndani wanajifanya kuchuniana kama paka na kijibwa.
nimeshawagundua janja janja yenu.
natumai hiyo siku hicho kilichokufanya uvurugike hakikupelekea ung'oke meno ya sebuleniiSiku ile nilivulugwa vibaya nikaona ngoja hasira zangu nikamalizie kwenye uzi wa like πππ
ina maana hata wewe hujashitukizia janja yao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikung'oka meno ila nilivunja mtu taya za meno πππππ.natumai hiyo siku hicho kilichokufanya uvurugike hakikupelekea ung'oke meno ya sebulenii
afadhali na hongera kwa ushujaaa.Sikung'oka meno ila nilivunja mtu taya za meno πππππ.
Poa sana mdogo wake Alicia, vipi za kwako?Bro wake Bradha, King wangu Mimi Mambo.?
ni nani aliyepeleka wazo la kutangaza mechi za laliga kwa kiswahili pale AZAM?Poa sana mdogo wake Alicia, vipi za kwako?
Poa sana mdogo wake Alicia, vipi za kwako?
Alikusikia nini?Daah griezman hadi huruma hapo barca
Unaonaje kuna ukweli hapo?kigogo kaichafua hali ya hewa.
Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua
UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...www.jamiiforums.com
Nzuuri, wasi wasi kwako..!Poa sana mdogo wake Alicia, vipi za kwako?
hayo makalio makubwa yana faida gani?Ngoja nibadilishe mtindo...
πππni nani aliyepeleka wazo la kutangaza mechi za laliga kwa kiswahili pale AZAM?
anapiga shuti messi, haya anapiga sasa, anapiga huyo,
aaaaaaaah kumbe goal kick
unataka kuniingiza kwenye mtego?Unaonaje kuna ukweli hapo?