Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hadi wa leo bado siamini ile kona kali uliyotupiga siku ile aiseeeeTunajikokota ila soon tutakaa sawa japo nimetoka kuangalia mpira hapa sija-enjoy kabisa japo tumepata sare.
Ila ilikuwa poor performance aisee.
We believe in pochettino.
Vipi wewe ndugu kesho utaweza kumchinja jogoo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuwa karibu na tv kufuatilia
#nimebetmoyoujue[emoji23][emoji23]
Teh teh teh kumbe kila koloni limerudi nyumbani tafadhili naomba umsalimie Happiness
Kwahiyo nitie mkeka Kuwaamini[emoji23][emoji23]Hadi wa leo bado siamini ile kona kali uliyotupiga siku ile aiseeee
Tulikuwaga wote mashabiki wa man u mara ghafla bini vuuu ukaturuka futi kama zoooteee na kutua spurs
Tuna ka uhakika kadogo kumchinja jogooo. Moyo unapiga sarakasi za kutosha ila we are MU fans
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king kuwa makini hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]At ur own riskKwahiyo nitie mkeka Kuwaamini[emoji23][emoji23]
Usinifanye nilale njaa[emoji23][emoji23]
Salamu zako hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanasema salamu hahitii mimba lakini. [emoji23]
Vipo tofauti bro... Niaje lakin pande hizo?Vipi ile kauli ya "Kisasi ni haki" naona inakatana na hii, au ubaya huu na ubaya wa kisasi vina tofauti?
Hehehehe nielekeze zilipo😀Mmmmmmmmmmmh! Hisia manazo labda hamjazijua kama ndio hisia
Si ndo hapo shule za kishua hizo ,kajambanani ni maharage,spinach,sukuma wiki ,makandeWakishua wapi
Nimekula sana hiyo kitu shule mazee labda ndio sababu
Salamu zako hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]