Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23]Si ndo hapo shule za kishua hizo ,kajambanani ni maharage,spinach,sukuma wiki ,makande
#BroDonAsionehapa
Nakuona ujueNisaidie kizifikisha kwa huyu anaitwa @hawachii
Sidhani hata kama Nimepitia ngoja niscroll tena juu hapo[emoji23][emoji23]
Hii kitu iko [emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahaa aiseee
Hahaha na gia zake eti hawez kuangaliana nae macho kwa machoNa awe makini hasa kk ni bingwa wa kubomoa mazizi ya wenyewe[emoji124][emoji124]
Humu ndo home sweet home.Tafadhali hebu nisaidie nilimzoom kama mara moja humu kuna siku nilipita. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Hahaha na gia zake eti hawez kuangaliana nae macho kwa macho
Sijambo Mydia, za wekeend.!Mrembo hujambo
We tulia na Cole huko na tayari tumekwisha kuku-bet labda mkeka uchanike ndio nitakusogelea.Nakuona ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abeeee tulielewana tuishie hapo hapo twaweza jikuta tulisomaga skuli moja[emoji23][emoji23]
Umenikumbusha tulikuwa tunapikiwa maharage wanachanganya na sukuma wiki humohumo.
Humu ndo home sweet home.
Rudi man u kwanza
Good night fam[emoji179][emoji179]
#dontdrinkanddrive
#besafe
Kwani kilitokea nini π π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]king kuwa makini hapa
Naona tunaendeleza ushindi...Asnte kwa habar njemaTunaongoza 2-0 dk ya 90