Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vitu vingine ni uonezi.
Vipi kama watoto hao ambao hawajarejea shuleni wamekwama kiasi hiko cha pesa walichoambiwa warudi nacho?
Hawa watoa matamko sijui huwa wanawaza nini wakati mwingine.
Smh!!
*******************************************
"Wale Vijana wamechoma bweni la kwanza, wamechoma la pili, wakaenda wakaanza kuchoma na la tatu, nilichukua uamuzi wakafukuzwa na wengine nikakamata mpaka jana wamelipa wanafunzi 270 Laki mbilimbili na wengine Laki tanotano, kuna Vijana kama 59 bado hawajalipa nawavizia mpaka J3 saa kumi ili kama hawajalipa nitawafunga, nitawafukuza shule na hawatoruhusiwa kufanya Mtihani wa Taifa kwa miaka 5 ili waonje joto ya jiwe watakapokuwa mtaani" - Albert Chalamila, RC Mbeya
 
Mwenyekiti wa Napoli Aurelio De Laurentiis amekiri kuwa "wakati utawadia" ambapo klabu hiyo italazimika kumuuza mchezaji wa safu ya kati na nyuma wa klabu hiyo Kalidou Koulibaly,28, ambaye amehusishwa na tetesi za kuhamia Manchester United. (Sky Sports Italia, via Sunday Express)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…